Habari kuhusu Taiwan (ROC) kutoka Aprili, 2014

Wito wa Kuacha Ujenzi Nchini Taiwan Ili Kuwalinda Chui

  24 Aprili 2014

Chui wameorodheshwa kama wanyama wanaoishi kwenye mazingira magumu [zh] nchini Taiwan. Kwa kuwa chui wakubwa huishi misituni na mwituni katika maeneo tambarare na yale yenye milima na makazi yao ni aina tofauti sana. Makazi yao nchini Taiwan yanasumbuliwa kwa sababu ya miradi mipya ya ujenzi. Kamati ya tathmini ya mazingira...