The Global Voices Lingua project hopes to bring GV content to new linguistic audiences - Details

Also in:

South Korea Kumbukumbu za nchi

Kiungo cha RSS kwa South Korea

2008-08-05

Korea: Wajibu wa Kitaifa Wachuana na Dhamiri

Kijana mmoja anayetumikia jeshi kama askari polisi aliamua kutorudi kwenye kikosi alichokuwa akifanya kazi baada ya likizo na alipeleka taarifa kuwa dhamiri yake ilikuwa ikimshtaki. Sababu ilikuwa kwamba dhamiri yake ilimshtaki baada ya kuwa amewanyanyasa raia walioshiriki katika mkesha wa tukio la kuwasha mishumaa. Uamuzi wa kijana huyu umevuta hisia ...