Habari kuhusu Ufilipino kutoka Novemba, 2013
Waathirika wa Kimbunga Nchini Ufilipino Wauliza: ‘Iko Wapi Serikali Yetu?’
Misaada inamiminika kutoka duniani kote lakini bado wahanga wa kimbunga wanalalamika kuwa hawajapokea msaada wowote kutoka serikalini
Global Voices Yasaidia Wahanga wa Haiyan Nchini Ufilipino
Kimbunga kijulikanacho kama Haiyan hadi sasa kimeshaua maelfu ya watu nchini Ufilipino. Wiki hii tunaongea na waandishi wetu wlioko nchini Ufilipino pamoja na mfanyakazi anayehusika na misaada kujua ni kwa namna gani tunaweza kutoa msaada wetu.
PICHA: Mafuriko Makubwa Katika Mji Mkuu wa Ufilipino
Dhoruba kali ya ki-Tropiki iliikumba Filipino na kusababisha mafuriko makubwa jijini Manila na katika majimbo ya karibu. Zaidi ya watu nusu milioni wameathirika na dhoruba hiyo