· Februari, 2014

Habari kuhusu Myanmar (Burma) kutoka Februari, 2014

Sinagogi Pekee Lililobaki Myanmar

  25 Februari 2014

Lilijengwa miaka 120 iliyopita, Sinagogi la Musmeah Yeshua lililoko eneo la Yangon ni Sinagogi pekee la wayahudi lililoyobaki katika eneo linaloongozwa na waumini wa dini ya Kibudha waishio nchini Myanmar. Mbali na kuwa kivutio cha utalii, pia limetajwa kama jengo la urithi la mambo ya kale katika mji huo.