The Global Voices Lingua project hopes to bring GV content to new linguistic audiences - Details

Also in:

Azerbaijan Kumbukumbu za nchi

Kiungo cha RSS kwa Azerbaijan

2009-11-04

Ideas ,
Gender

Mwanablogu wa Emotions on Air, Mind Mute anatafakari marajio ya jamii kwamba wanawake watabakia mabikira mpaka watakapofunga ndoa. Japokuwa ipo nchini Azerbaijan, blogu hiyo inabaini mfumo unaofanana wa maadili katika eneo lote la Caucasus na inaongelea kuhusu dhana na taratibu za namna hiyo za mfumo dume.