Habari kuhusu Video kutoka Novemba, 2013
VIDEO: Serikali Yaharibu Misikiti Nchini Angola
Uharibifu wa misikiti isiyopungua 11 katika miezi miwili iliyopita nchini Angola imechochea athari ya hasira kwenye mtandao. Kwa mujibu wa Voz da América [pt], Mamlaka ya Angola ilisema kuwa sababu ya uharibifu ni ujenzi kinyume cha sheria na ripoti&nyingine kuongeza kwamba mchakato wa kuhalalisha Uislamu na dini nyingine katika nchi haijawahi...
VIDEO: “Wao Hufanya kazi na kufa”, Ugonjwa Usioeleweka Yawaua Wafanyakazi wa Miwa wa Amerika ya Kati
Wafanyakazi ambao hukata miwa na mazao mengine katika tambarare ya pwani ya Amerika ya Kati na wamekumbwa na ugonjwa wa ajabu: Kutoka Panama hadi kusini mwa Mexico, wafanyakazi wamashikwa na na maradhi ya kushindwa kwa figo katika viwango vya ghaibu amabavyo havijaonekana mahali popote duniani. Familia na vijiji imekumbwa na...
Wasanii wa Brazil Waungana Kuwahifadhi Simba Nchini Kenya
Brazilian artists contribute their artwork to a crowdfunding campaign supporting the Ewaso Lions Project, dedicated to saving lions in Kenya.
Global Voices Yasaidia Wahanga wa Haiyan Nchini Ufilipino
Kimbunga kijulikanacho kama Haiyan hadi sasa kimeshaua maelfu ya watu nchini Ufilipino. Wiki hii tunaongea na waandishi wetu wlioko nchini Ufilipino pamoja na mfanyakazi anayehusika na misaada kujua ni kwa namna gani tunaweza kutoa msaada wetu.
Filamu 14 za Mazingira zenye Kuvutia
TVE (Televisheni inayohusika na Mazingira) yaonesha video 14 bora za washindani waliofika fainali kwenye shindano la kimataifa la filamu bora ya mazingira. Washiriki kutoka sehemu mbalimbali za dunia wametengeneza filamu zinazochukua muda wa dakika 1 kwa kuzingatia mada zinazohusiana na mabadiliko ya hali ya hewa, maendeleo endelevu pamoja na bayoanuai....
Wimbo wa Mahadhi ya Kufoka Upendwao na Vijana nchini Tunisia
Ukiwa umetazamwa zaidi ya mara milioni 3 kwenye mtandao wa YouTube, wimbo wa Houmani umegeuka kuwa wimbo wa taifa kwa vijana wa Tunisia. Afef Abrougui anaeleza kwa nini,
Timu ya Soka ya Brazil Yazindua Kampeni Dhidi ya Ubaguzi wa Rangi
Katika video iliotolewa Jumatatu, Agosti 12, timu ya soka ya Grêmio of Porto Alegre ilileta pamoja baadhi ya wachezaji muhimu kwenye orodha ya majina yake, weupe na weusi, kwa majadiliano juu ya ubaguzi wa rangi. Mpango huo ulifanyika kusaidi mpango mpya wa FIFA, uliotekelezwa Mei mwaka huu na kupitishwa bila...