Habari kuhusu Video kutoka Oktoba, 2013
Maadhimisho ya Miaka 30 ya Maandamano ya Usawa ya Wafaransa
Miaka 30 iliyopita (Oktoba 15, 1983), a maandamano ya usawa dhidi ya ubaguzi wa rangi [fr] yalianzia Marseille na watu 32, wengi wao wakiwa wenye asili ya Kiarabu, kwa kuomba haki ya kupiga kura na kitambulizo cha mkazi kwa miaka 10. Maandamano hayo yanayofahamika kama “Beur March” (Beur ni lahaja ya Kifaransa kwa watu wenye...
GV Face: Kupigania Mtandao Huru wa Intaneti Nchini Brazil
Wiki hii kwenye GV Face, tulizungumza na mwandishi wetu wa Brazil Raphael Tsavkko, mtaalamu wa sera ya mtandao Carolina Rossini na Joana Varon, mwandishi wa muswada huo wa Marco Civil da
Je, Kutakuwa na Fungate kwa Marekani na Irani?
Raia wa Iran hawakubaliani ikiwa mahusiano mazuri yaliyoashiriwa na tukio la kupigiana simu kati ya Marais Obama na Rouhani ni jambo jema.
GV Face: Wanawake Nchi Saudi Arabia Wanuia Kuendesha
Katika toleo la GV Face wiki hii, tunakutana na mwanablogu wa Jeddah na mwandishi Tamador Alyami anayeunga mkono kampeni ya #WanawakeWataendesha, Hadeel Mohammed, Mwandishi wetu wa Saudia anayeishi Dammam na Mhariri wetu wa Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini Amira Al Hussaini