Habari kutoka Muhtasari wa Habari

‘Escopetarra': Chombo cha Kipekee

  22 Agosti 2015

Kama unaamini kuwa hakuna jambo zuri linaloweza kutokana na bunduki aina ya gobore, basi unapaswa kukifahamu kifaa kiitwacho “escopetarra”— mchanganyiko uliotokana na kubadilisha silaha mbili “hatari” (an AK-47 na gitaa) na kuwa kifaaa cha amani. “Escopetarra” ni neno lililotokana na muunganiko wa maneno ya Kispaniola, “escopeta” (bunduki) na “guitarra” (gitaa). Kwenye...

Ramani Hizi Zaonesha Mahali Walipotesewa na Kuuawa Wanahabari wa Kambodia

  2 Juni 2015

Kituo cha Haki za Binadamu cha kambodia kimezindua jarida linaloelezea ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa kwa waandishi wa habari nchini Kambodia. Katiba ya nchini Kambodia inatoa uhuru wa kupashana habari lakini wanahabari wanazidi kunyanyaswa na kuuawa, hususani kwa waandishi wanaopasha habari kuhusiana na ukiukwaji wa maadili unaofanywa na maafisa...

Mjamzito wa Miaka 11 Agoma Kutoa Mimba Nchini Uruguay

  30 Mei 2015

Niña de 11 años embarazada que no quiere abortar genera polémica➝http://t.co/uPBo6NEKcC #Aborto #Embarazo #Uruguay — Periódico La Tribuna (@PLaTribunaFunza) May 8, 2015 Kugoma kwa mjamzito wa miaka 11 kutoa mimba kumesababisha utata. Hivi karibuniTuliandika kuhusu msichana wa miaka 10 aliyekuwa mjamzito nchini Paraguay kwa kudaiwa kubakwa na baba yake wa...

Uchaguzi wa FIFA Unaendelea

  30 Mei 2015

Pamoja na kutiwa nguvuni kwa maafisa kadhaa wa FIFA kufuatia mashitaka yaliyofunguliwa na Wizara ya Sheria ya Marekani, chombo hicho kinachosimamia kandanda duniani kimesema kwamba uchaguzi wake, ambao utaunda baraza la 65 la FIFA, utaendelea kama ulivyopangwa hivi leo. Rais wa FIFA aliye madarakani Sepp Blatter, ambaye ameongoza chombo hicho...

Kuhusu habari zetu za Muhtasari wa Habari

Hizi ni habari mpya zilizoandikwa kwa muhtasari.