Habari kutoka na

Shambulio la Kigaidi Laua Watu Watano Mjini Bamako

Shambuliko la kigaidi lilitekelezwa kwenye mgahawa jijini Bamako, makao makuu ya Mali, limechukua maisha ya watu watano usiku wa siku ya Ijumaa mnamo Machi, 6. Shambulio hilo lilifanyika usiku wa maneno kwenye mkahawa unaoitwa took Terrasse kwenye mitaa ya Bamako na watu zaidi ya kumi wamejeruhiwa vibaya. Washukuiwa wawili wamekamatwa...

Filamu: ‘Sanaa ya Ama Ata Aidoo’

The Art of Ama Ata Aidoo ni filamu iliyotayarishwa na mtayarishaji wa filamu Yaba Badoe: The Art of Ama Ata Aidoo, inasaili mchango wa kisanii wa mmoja wa waandishi wanawake mashuhuri barani Afrika, anayeongoza kizazi hiki kwa kipaji kipya cha pekee. Dokumentari hii inasaili safari ya ubunifu ya Ama Ata...

Kolombia: Hapana kwa Utalii wa Ngono Mjini Medellín

  30 Septemba 2014

Kufikia katikati mwa mwezi Julai 2014, ukurasa wa Facebook Hapana kwa utalii wa ngono ulianzishwa, kwa lengo la kukuza uelewa kuhusu utalii wa ngono nchini Kolombia. Wikipedia inatafsiri dhana hiyo: … una forma de turismo con el propósito de mantener relaciones sexuales, normalmente de varones con prostitutas hembras, pero también,...