Habari kutoka Muhtasari wa Habari na Sudani Kusini
Mkuu wa Upelelezi wa Jeshi la Sudani Kusini Akana Jaribio Mapinduzi ya Kijeshi
Mkuu wa upelelezi wa jeshi nchini Sudani Kusini amekana kuwa kulikuwa na jaribio la mapinduzi ya kijeshi tarehe 15 Desemba, 2013. PaanLuel Wel anaripoti: Taarifa kutoka Juba zinasema mkuu wa upelelezo wa jeshi, Jenerali Mac Paul Kuol Awar, ametupilia mbali madai ya jaribio la kijeshi la Desemba 15, 2013. Mac...
Ramani za Mpaka wa Kikoloni wa Sudan Kusini Ziko Wapi?
Joseph Edward anazungumzia kupotea kwa ramani za mpaka wa Sudan Kusini za enzi za ukoloni: “Majadiliano yameibuka kuhusu ramani ambazo zilidaiwa kuchukuliwa na Waingereza baada ya Sudan kupata uhuru mnamo mwaka wa 1956. Huku baadhi a watu wanaamini kwamba nyaraka hizo za kihistoria zinaweza kupunguza migogoro ya mpaka inayoendelea, watafiti...