Habari kutoka na

PICHA: Wapelestina Wanatufundisha Namna ya Kuishi

  29 Julai 2014

Mpalestina Sayel anatwiti kwa wafuasi wake 1,800 kwenye mtandao wa Twita picha ifuatayo ya wakazi wa Gaza wakipanda maua kwenye maganda ya silaha za Israeli. Anasema: Palestinians from the Gaza planting flowers in Israeli shells being thrown at their houses.We teach life,Sir! #Gaza. pic.twitter.com/V04x0nVXTa — صايل (@Falestinianism) July 26, 2014...

Picha: Mwonekano wa Maroketi Yakiruka Kwenye Anga la Gaza Kutoka Angani

  25 Julai 2014

Kutoka kwenye anga la mbali, mwanaanga Alexander Gerst anatazama namna Gaza inavyowaka moto. Anatwiti: My saddest photo yet. From #ISS we can actually see explosions and rockets flying over #Gaza & #Israel pic.twitter.com/jNGWxHilSy — Alexander Gerst (@Astro_Alex) July 23, 2014 Picha mbaya sana hii. Kutoka ISS tunaweza kuona milipuko na...

Madege ya Kijeshi ya ki-Palestina Yaruka kwenye Anga la Israel

  15 Julai 2014

Brigedi ya Palestina ya Al Qassam, tawi la kijeshi la Hamas, lilionyesha miundo mitatu ya madege ya kijeshi leo, ikisema kuwa yalirushwa kwenye anga la Israel. Mwandishi Dima Khatib anatwiti: Al Qassam Brigades say they made 3 models of Ababil drones: A1A, A1B, A1C. Pic v @QudsN of A1B during...

Waandishi wa kimataifa Wakashifu Israeli kwa Kuendelea kwa Ujenzi wa Makazi

  9 Julai 2014

Waandishi kumi na sita wa kimataifa ambao walishiriki katika Tamasha la Wapalestina la Fasihi, lililofanyika katika miji kadhaa Palestina kuanzia Mei 31 hadi Juni 5, walitoa taarifa kukashifu Israeli kwa kuendelea kwa ujenzi wa makazi na kupongeza juhudi za kususia kampeni ya Boycott Divest and Sanction (BDS). Taarifa, kupitia mtandao...

Israel: Kublogu Kwa Ajili Ya Mazingira Nchini Jordan

  16 Disemba 2009

“Wanamazingira na Waandishi kutoka Palestina, Jordan na Israel watakutana huko Madaba, Jordan mwezi huu kwa ajili ya warsha ya siku 2: “Kublogu kwa Ajili ya Mazingira” tarehe 20-21 Desemba,” anaandika Muisrael Green Prophet, kwenye Mideast Youth.

Palestina: Mtaa wa Twita

  15 Novemba 2009

Eman katika AquaCool anatoa maoni kuhusu mtaa wa kwanza kupata jina linalotokana na huduma ya Twita, katika kambi ya wakambizi huko ukingo wa Magharibi.

Palestina: IDF Yachoma Moto Magari Ya Wapalestina

  28 Oktoba 2009

Kwenye Do Unto Others, Samuel Nichols anaandika kuwa doria ya jeshi la Israel imeanza kuchoma moto magari ambayo yanakamatwa yakijaribu kuvuka mpaka kutoka Ukanda wa Magharibikuingia Israel. Ametundika video hapa.