Habari kutoka Muhtasari wa Habari na Laos
Udhalilishaji wa Kijinsia wa Watoto Wanaotalii Asia ya Mashariki
Mradi wa Nguzo ya Kuokoa Utoto, uliobuniwa na serikali ya Australia, umezinduautafitiukosefu wa msaada wa kijamii, elimu, furasa na ulinzi” kwa kuendelea kwa vitendo vya kuwadhalilisha watoto. Utafiti huo pia umeonyesha namna kusafiri na utalii “ni hatari nyingine inayochangia shida za kudhalilishwa zinazowakumba watoto.” Utafiti huo ulihusisha nchi za Thailand,...
Video Inayoonyesha jinsi Marekani Iliangusha Mabomu ya Tani Milioni 2.5 Nchini Laos
Mother Jones alipakia video ambayo inaiga utupaji mabomu 600 uliofanywa na Marekani nchini Laos kati ya mwaka wa 1965 hadi 1973 wakati wa zama za Vita ya Vietnam.
Kuwaokoa Akina Mama na Watoto Nchini Laos
Kundi la CleanBirth.org lina nia ya kuboresha hali ya huduma ya afya ya uzazi katika baadhi ya vijiji vya Laos vijijini kwa kutoa vifaa vya kuzalisha, mafunzo ya wauguzi wapya na kuhamasisha kujitolea kwa wana kijiji. Katika taarifa ya hivi karibuni, kundi lilionyesha kwa nini wengi wa wana Lao vijijini...
Wali Unaonata Haufai kwa Watoto, Akina Mama Waambiwa
@LaotianMama anawakumbusha akina mama wa Lao kutokuwalisha watoto wenye njaa wali unaonata ambao ni chakula cha asili kwao. Wali unaonata kwa watoto wachanga ni sawa na punje za wali katika utamaduni wa ki-Magharibi. Wazo ni lile lile kuwa kuwapa watoto wachanga chakula kigumu kutawashibisha. Kwa hiyo, kuwaanzishia watoto wachanga chakula...