Habari kutoka Muhtasari wa Habari na Eritrea
Eritrea: Utawala Ulio Madarakani Uondelewe Haraka
Kwa mujibu wa Mohammed Hagos, mradi wa demokrasi katika Eritrea unapaswa uanze kwa kuuondoa madarakani utawala uliopo sasa: “Kikwazo kinachowazuia watu wa Eritrea kujieleza ni utawala wa Issayas. Njia ya kuelekea demokrasia kwa hiyo inaanza na kuuondoa utawala wa Issayas haraka iwezekanavyo…”