· Oktoba, 2012

Habari kuhusu Wanawake na Jinsia kutoka Oktoba, 2012

Ghana: Vikwazo Vinavyowakabili Wanawake Kimaendeleo

  16 Oktoba 2012

Betty Mould Iddrisu, Jaji na Waziri wa Sheria wa Ghana, anaandika [fr] kwenye blogu ya pambazuka.org: Kufikia ngazi za juu kabisa za utawala si rahisi, na hata unapopanda mpaka juu kabisa, bado unajikuta unakabiliwa na hisia za watu zenye uadui na watu wanakuwa na mashaka na uwezo wako, kwa sababu...