Habari kuhusu Safari kutoka Juni, 2014
Puerto Deseado, Ahera ya Pwani
Kwenye blogu yake Viajes y Relatos, Laura Schneider anasimulia uzoefu wake alipotembelea Puerto Deseado, mji ulioko kwenye Jimbo la Santa Cruz, Ajentina. Katika siku yake ya sita ya safari yake ya kupiga picha, alitembelea na kupiga picha za mji huo mzuri katika maeneo ya karibu: Yendo por la ruta 3,...