Habari kuhusu Michezo kutoka Septemba, 2014
Video ya Kuonesha namna Mlima Ontake Ulivyolipuka
Mtu mmoja amethibitika kufa, wakati wengine wapatao hamsini wakiwa wamejeruhiwa vibaya, na wengine kumi hawajulikani walipo baada ya Mlima Ontake, ulio maarufu kwa ukweaji mlima, katikati ya Japani, kulipuka