Habari kuhusu Siasa kutoka Oktoba, 2013
Maadhimisho ya Miaka 30 ya Maandamano ya Usawa ya Wafaransa
Miaka 30 iliyopita (Oktoba 15, 1983), a maandamano ya usawa dhidi ya ubaguzi wa rangi [fr] yalianzia Marseille na watu 32, wengi wao wakiwa wenye asili ya Kiarabu, kwa kuomba haki ya kupiga kura na kitambulizo cha mkazi kwa miaka 10. Maandamano hayo yanayofahamika kama “Beur March” (Beur ni lahaja ya Kifaransa kwa watu wenye...
Baa la Njaa Nchini Haiti
Kwa nini – wakati nchi imepokea misaada ya chakula yenye thamani ya si chini ya dola za kimarekani bilioni moja wakati wa majanga ya matetemeko ya ardhi ya mwaka 1995 na 2010 – bado baa la njaa linaongezeka? Blogu ya Haiti Grassroots Watch inasaili “malalamiko na tetesi kuhusu matumizi mabovu...
Mwenendo wa Mashitaka ya Wanasiasa wa Kenya Mjini Hague
Mashitaka ya Kenya Hague ni mradi wa Dawati la Afrika la Radio Netherlands Worldwide kwa ushirikiano na This is Africa (Hii ni Afrika): Namna gani ghasia za baada ya uchaguzi nchini Kenya mwaka 2007 na 2008 ziliathiri maisha yako? Unataka kufahamu nini kuhusu haki ya kimataifa? Changia habari ulizonazo, mawazo...
Je, Kutakuwa na Fungate kwa Marekani na Irani?
Raia wa Iran hawakubaliani ikiwa mahusiano mazuri yaliyoashiriwa na tukio la kupigiana simu kati ya Marais Obama na Rouhani ni jambo jema.
Gambia Yajitoa Jumuiya ya Madola, Yaiita Jumuiya Hiyo ‘Ukoloni Mambo-Leo’
"Gambia haitakuwa mwanachama wa taasisi yoyote ya ukoloni mambo-leo," nchi hiyo ya Afrika Magharibi ilitangaza katika tamko lake la wiki hii.
Maandamano ya Wapinzani na wafuasi wa Jeshi Yaandaliwa Katika Viwanja vya Tahrir
Kwenye mtandao wa Twitter, Nancy anauliza kama chama cha FJP cha Muslim Brotherhoodhad kiemtumia bango lililotumika kwenye filamu ya Vita ya Dunia Z: Simulizi la Historia ya Vita ya Zombie, katika kuitisha maandamano yanayopangwa kuwa Oktoba 6: Did the #FjP wametumia bango la Vita ya Dunia Z kuitisha maandamano ya...
Zana ya Mtandaoni ya Kuwapima Wagombea Urais Nchini Madagaska
Tovuti ya ki-Malagasi iitwayo Madatsara imetengeneza tovuti utakayotumika kama majukwaa ya kuwapima wagombea wote wa Urais [fr]. Majukwaa yote yametengwa katika mada tisa kuwasaidia wananchi kufanya maamuzi ya busara wakati wa uchaguzi. Uchaguzi wa Rais umepangwa kufanyika tarehe 25 Oktoba, 2013 :
Katika Jamhuri ya Afrika, ”Bado Tuna Matumaini ya Kuishi Pamoja kwa Amani”
Kama mapigano baina ya waasi wa Sékéla na jeshi la taifa la Jamhuri ya Afrika ya Kati vinaendelea, mvutano katika mji wa Bossangoa. Wenyeji wanahofia kwamba migogoro inaweza kumwagika katika mapigano ya wazi kati ya jumuiya ya kikristo na Waislamu. Baadhi bado kushikilia tumaini kwa upatanisho angalau, kama Iman wa msikiti wa mji wa...