Habari kuhusu Muziki kutoka Februari, 2014
Mazungumzo ya GV: Tafakuri ya Kina Kuhusu Muziki wa Mahadhi ya Pop Nchini Korea
Umekuwa ukiitwa “bidhaa kuu ya mauzo nje” ya taifa la Korea Kusini. Wimbo wa PSY ulio katika mahadhi ya Pop ndio wimbo uliotazamwa zaidi kwenye mtandao wa YouTube. Lakini nyuma ya hali hii inayoonekana kijuu juu kuwa ni kupendwa na malipo makubwa kadhalika, muziki huu hauwezi kuwa mzuri wala wa...