Habari kuhusu Habari za Wafanyakazi kutoka Novemba, 2009

Japan: Mkeo anapougua

  2 Novemba 2009

Pale utamaduni wa “mifugo ya mashirika” au kwa maneno mengine “utamaduni wa ujumla wa wafanyakazi” (社蓄 shachiku) na maadili ya ndoa vinapogongana – zaidi ya watu 300 walitoa majibu kuhusiana na swali lililoulizwa kwenye jukwaa kubwa la mijadala lijulikanalo kama Hatsugen Komachi: Je, mwanaume aombe ruhusa kazini pale mkewe anapougua?...