Habari kuhusu Habari za wenyeji kutoka Februari, 2014

Honduras Yazindua Kamusi ya Mtandaoni ya Lugha za Asili

  28 Februari 2014

Kamusi ya lugha za asili nchini Honduras ilisambazwa mtandaoni hivi karibuni[es]. Gazeti la Honduras liitwalo Tiempo [es] linaeleza kuwa kamusi hii “imejumuisha maneno yanayofanana katika lugha ya Kihispaniola, chortí, garífuna, isleño, miskito, pech, tawahka na tolupán, lugha ambazo ndizo zinazotengeneza urithi wa lugha wa nchi hiyo.”  Kwa mfano, unapotafuta neno...