Habari kuhusu Vichekesho kutoka Juni, 2015
Raia wa Uganda Wanataniana kwa Mgogoro ‘wa Kawaida’ wa Awamu ya Tatu Burundi
Maandamano makubwa na mapinduzi yaliyoshindwa vyote vlitokea kwa sababu ya Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kutaka kugombea kwa awamu ya tatu. Rais wa Uganda anaangalia uwezekano wa kugombea muhula wa tano.