· Oktoba, 2009

Habari kuhusu Mwitikio wa Kihisani kutoka Oktoba, 2009

Japan: Uchunguzi Mpya Juu ya Umaskini Waharibu Soga za Utajiri

  26 Oktoba 2009

Mjapani mmoja kati ya sita anaishi katika umasikini inasema ripoti mpya ya Wizara ya Ustawi wa Jamii [en]. Kwa mujibu wa takwimu za OECD, Japan ina kiwango kikubwa zaidi cha umasikini katika dunia iliyoendelea na ni ya 4 baada tu ya Mexico, Uturuki na Marekani. Mnamo mwezi wa Septemba, Makoto...