Habari kuhusu Historia
Mizaha Inavyotumika Kuelewa Mapambano ya Puerto Rico na Washington
Mtandao wa Juice Media umehoji: Je, uko tayari kwa ukweli wa kiasi hiki?
Kilicho cha Zamani ni Kipya: Unasikiliza? Matangazo ya Sauti
Katika matangazo haya ya sauti, tunakupeleka hadi Jamaica, Indonesia, Syria, Macedonia na Ethiopia kwa simulizi za kumbukumbu, ufufuaji na uzima mpya
Picha za Kale Zarejesha Kumbukumbu Nzuri za Mji Mkuu wa Dhaka nchini Bangladesh
"Hapo ndipo nilipokulia hadi nilipokuwa kijana na ninajaribu kupata hisia ya namna siku hizo zilivyokuwa nzuri. Hizo zilikuwa siku njema sana kwa jiji langu pendwa la Dacca na siyo Dhaka."
Du! Kosa la Facebook Kugeuza Bendera ya Ufilipino Laifanya Nchi Ionekane iko kwenye ‘Hali ya Vita’
"Jamani @facebook: Bendera ionekane hivi na iwe Siku ya Uhuru. Kweli? ."
Ubaguzi wa India kwa Waafrika Waibuka Tena Baada ya m-Kongo Kuuawa kwa Kupigwa
Sema, "India inakupenda," kwa wa-Islamu, wa-Daliti, wa-afrika, wasio na dini...na kisha rudi ukawapige makofi?
Rais Mzee Kuliko wote Duniani, Robert Mugabe wa Zimbabwe Atimiza Miaka 92
"Nimeshafariki mara nyingi. Nimempita hata Yesu Kristu aliyekufa mara moja tu."
Waganda Wamchimba Rais Wao Museveni Kwa Picha za Miaka 30 Iliyopita!
Wakati Rais Museveni anatafuta kuchaguliwa tena kuwa rais kwa awamu ya sita, wa-Ganda wanakumbushana walikokuwa miaka hiyo -- na kutokurishwa na siasa za nchi hiyo.
Wa-Tanzania Wamkumbuka Baba wa Taifa Lao kwa Alama ya #DearNyerere
"#DearNyerere, enzi zako, umaarufu ulitokana na matendo mazuri kwa nchi yako, lakini siku hizi ni idadi ya wafuasi kwneye mitandao ya Instagram na Twita."
Unataka Kuuona Mji Huru wa Kwanza wa Kiafrika Barani Amerika? Nenda nchini Mexico
Waafrika-Wa-Kimexicowanajivunia kuwa sehemu ya simulizi ya “El Yanga,” aliyejulikana dhahiri kama Mfalme aliyekuwa mateka kutoka katika kabila la Yang-Bara la Gabon, ambaye aliwasaidia watumwa kupata uhuru kutoka kwa Waspaniola kwenye miaka ya 1570.
Afrika Kusini Yakumbuka Mashindano ya Kombe la Dunia 2010 Yalivyokuwa
Mnamo Juni 11, 2010, Afrika Kusini ilikuwa mwenyeji wa mashindano makubwa ya michezo duniani. Ni mara ya kwanza kwa mashindano hayo kufanyika barani Afrika.