· Machi, 2014

Habari kuhusu Historia kutoka Machi, 2014

Trinidad na Tobago: Tume ya Mapinduzi

  18 Machi 2014

Je, Trinis inajali ripoti ya dat de iliyotolewa na Tume ya kuchunguza jaribio la mapinduzi ya Abu Bakr mwaka 1990 ambayo ndio kwanza imetoka? Trini inapendekeza kwamba kutolewa kwa matokeo haya kunaweza kuchukuliwa kuwa ni ya kiwango cha chini, na yamekuja kwa kuchelewa.