Habari maalum kuhusu History
Video: Dunia Yaadhimisha Kuanguka kwa Ukuta wa Berlini
Leo ni Kumbukumbu ya 20 ya kuanguka kwa Ukuta wa Berlini, kizingiti madhubuti cha kiusalama ambacho kiliwahi kuligawa jiji la Berlini katika pande mbili za Mashariki na Magharibi huko Ujerumani. Leo tunaonyesha baadhi ya picha za video zinazotoka pande mbalimbali za dunia zinazopandishwa ili kusherehekea siku hii na nini ukuta huo ulimaanisha siyo Ujerumani tu bali duniani kote.
Rwanda: Miaka kumi na tano baada ya mauaji ya Kimbari
2009-11-16
2009-11-13
Sub-Saharan Africa
Wanasiasa wa Uganda wanakuwa kama panzi: “kufuatia hali ya kufikia kikomo kwa tawala nyingi za kiimla, Museveni na washirika wake katika ukaliaji wa mabavu wa Buganda kwa kutumia silaha wanaanza kuwa kama panzi.”
2009-11-07
Sub-Saharan Africa
Sehemu ya kwanza ya vionjo vya Ghana iliyotayarishwa na Gayle: Nchini Ghana, kila kanda ina kitu cha kutoa. Utamaduni, historia, pwani, wanyama na mimea, unaweza ukavivinjari nchini kote, kutokea kwenye mitisitu ya kitropiki kule kusini mpaka mbuga za savana za kaskazini. kama ni mpenzi wa pwani au historia, utaburudika na ziara hii ya sehemu za pwani.
2009-10-11
2008-08-20
2008-08-13
Angola: Kuelekea Uchaguzi Unaosubiriwa Kwa Muda Mrefu
Ni chini ya chini ya mwezi mmoja kwa Angola kabla ya kuingia zoezi linalosubiriwa zaidi katika aya za historia yake. Miaka kumi na sita baada ya uchaguzi wake wa mwisho, Waangola kwa mara nyingine tena watapata fursa ya kutumia haki yao ya kupiga kura katika uchaguzi wa bunge,utakaofanyika kuanzia ...




