· Juni, 2014

Habari kuhusu Uhuru wa Kujieleza kutoka Juni, 2014

Umuhimu wa Haki kwa Wanablogu wa Ethiopia

Justice Matters ni blogu inayoripoti kuhusu kesi ya wanablogu wa Zone9 waliokamatwa na waandishi wa habari nchini Ethiopia kwa ajili ya kutoa maoni yao: Blogu hii ina habari zaidi za hivi karibuni kuhusu jitihada za utetezi, ripoti za vyombo vya habari, na hadhi ya kisheria ya wanablogu wa Zone9 nchini...