· Machi, 2014

Habari kuhusu Uhuru wa Kujieleza kutoka Machi, 2014

Watumiaji wa Huduma ya Tor Waongezeka Nchini Uturuki

Mtetezi wa haki za binadamu na maadili Frederic Jacobs anabainisha kuwa idadi ya watu wanaotumia huduma ya Tor imeongezeka nchini Uturuki: Matumizi ya huduma ya Tor yako juu. Watu. > 35 000 wamejiunga. Watu zaidi wanatarajiwa kujiunga ndani ya siku chache zijazo. pic.twitter.com/1c7AOflm7h — Frederic Jacobs (@FredericJacobs) Machi 23, 2014 Uturuki...

Maombi ya Mtandao wa WeChat na ‘Self-Media’ kwa Raia wa China

  21 Machi 2014

Mitandao ya Tencent’s WeChat, huduma ya ujumbe binafsi kwa namna fulani imechukua nafasi ya mtandao unaofanana kidogo na Twita uuitwao Sina Weibo kama chombo kinachoongoza kwa mawasiliano mbadala. Mtandao wa Tea Leaf Nation  umeelezea maombi ya mtandao wa WeChat na “self-media” kwa ujumla/a> kwa kizazi cha Wachina vijana, na maana ya  hatua...

Iran: Mwanafunzi Ahukumiwa Miaka 7 Jela

Blogu ya PersianBanoo iliripoti kuwa “mwanafunzi mwanaharakati wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Qazvin aliyefukuzwa, Maryam Shafipour amehukumiwa kifungo cha miaka saba jela. Awali iliripotiwa na familia yake kuwa alikuwa amepigwa na maofisa wa kiume waliokuwa wanamhoji wakati wa kuhojiwa kukiendelea”.