· Septemba, 2008

Habari kuhusu Uhuru wa Kujieleza kutoka Septemba, 2008

Irani: Redio Zamaneh, Redio ya Mabloga

  21 Septemba 2008

Redio Zamaneh ni redio ya lugha ya kipersia yenye makao yake huko mjini Amsterdam. Zamaneh ni neno linalomaanisha “wakati” katika lugha hiyo. Redio Zamaneh (RZ) ni chombo huru cha utangazaji kilichosajiliwa kama asasi isiyo ya kiserikali huko Uholanzi, kikiwa na studio na makao yake makuu mjini Amsterdam. Mratibu wa redio...