Habari kuhusu Ubaguzi wa Rangi kutoka Machi, 2014
Kurudisha Mabaki ya Miili ya Binadamu tu Haitoshi, Ombeni Radhi, Namibia Yaiambia Ujerumani
Mabaki ya watu waliouawa wakati wa vita vya kikoloni (kwenye karne ya 20) yalirudishwa Namibia na Ujerumani mwezi Machi. Hata hivyo, Wanamibia bado wanadai tamko rasmi ya kuomba radhi kutoka kwa serikali ya Ujerumani kama Tendai Marima, mwanazuoni mtafiti wa fasihi za Afrika , aliandika kwenye tovuti ya Think Africa Press:...
Namna 10 Ambazo Warusi na Wa-Ukraine Walivyopokea Hotuba ya Putin Kuichukua Crimea
Vyovote mtu anavyojisikia kuhusu suala la Crimea, hotuba [ya Putin], ilikuwa ya kihistoria, na ndiyo ambayo wanablogu waliipokea kwa gumzo, kama ilivyo kawaida yao mtandaoni.
Uwakilishi wa Kisiasa: Mapambano ya Raia wenye Asili ya Afrika Waishio Colombia
Ikiwa na idadi ya watu milioni 5, au asilimia 10.6 ya idadi ya watu wote wa nchi hiyo, Colombia ina idadi kubwa zaidi ya watu wenye asili ya Afrika katika bara la Amerika Kusini, nyuma tu ya Brazili kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2005. Hata hivyo, kuna changamoto kubwa...
“Si rahisi kuwa Mhindi” nchini Marekani
Ricey Wild, Mmarekani wa asili anayeblogu kwenye blogu ya Indian Country Today, anandika kuhusu kuuawa kwa mbwa mwitu kwenye jimbo la Minnesota, Marekani. […]Rafiki yangu mpenzi Melissa alikuja kunichukua mwezi uliopita kwenda kwenye mkutano wa kupinga uwindaji wa mbwa mwitu kwenye jimbo la Mennesota na kwingineko. Tulipanda kaskazini na kuungana...