· Septemba, 2013

Habari kuhusu Uchumi na Biashara kutoka Septemba, 2013

Kwa nini Indonesia Haitakiwi Kupandisha Kima cha Chini cha Mshahara

  29 Septemba 2013

Rocky Intan aneleza kwa nini kupandishwa kwa kima cha chini cha mshahara nchini Indonesia kutaathiri uchumi wa nchi hiyo: Viongozi wa kitaifa na wale wa ngazi za chini lazima wapambane na shinikizo la baadhi ya viongozi wa vyama vya wafanyakzi wanaodai kupandishwa kwa kima cha chini cha mshahara. Ongezeko la...