· Machi, 2014

Habari kuhusu Harakati za Mtandaoni kutoka Machi, 2014

Watumiaji wa Huduma ya Tor Waongezeka Nchini Uturuki

Mtetezi wa haki za binadamu na maadili Frederic Jacobs anabainisha kuwa idadi ya watu wanaotumia huduma ya Tor imeongezeka nchini Uturuki: Matumizi ya huduma ya Tor yako juu. Watu. > 35 000 wamejiunga. Watu zaidi wanatarajiwa kujiunga ndani ya siku chache zijazo. pic.twitter.com/1c7AOflm7h — Frederic Jacobs (@FredericJacobs) Machi 23, 2014 Uturuki...

Maandamano ya Taiwan ya #KupingaBunge, Yatafsiriwa

  21 Machi 2014

Mamia ya watafsiri wamejipanga kupitia mtandao wa facebook kutafsiri habari kuhusu maandamano ya raia wanaojikusanya kwenye Bunge la nchi hiyo kupinga hatua ya chama tawala nchini humo kupitisha mkataba wa kibiashara wenye utata na nchi ya China.