Habari kutoka RuNet Echo kutoka Februari, 2014
Warusi “Wapuuza” Olimpiki na Kufuatilia Ghasia za Ukraine
Leo, baada ya ghasia na vurugu kuanza tena kwenye mitaa ya Kiev, na kugeuza kabisa upepo wa habari katika mitandao ya Kirusi. Kwa hakika, picha zinazokuja kutoka Ukraine zinaonyesha kitu kinachofanana na vita vya wenyewe kwa wenyewe.