Habari kuhusu Matangazo kutoka Januari, 2010
Sisi ni Sauti za Dunia: Miaka Mitano Baadaye
Wakati Global Voices ikisherehekea miaka mitano ya uhai wake, mwanzilishi mwenza Rebecca MacKinnon anatazama ni umbali gani tuliotoka - na umbali gani tunaotaka kuufikia.