Habari kuhusu Kihispania kutoka Disemba, 2013
Uruguay yawa Nchi ya kwanza Kuhalalisha Soko la Bangi
Baraza la Seneti la Urugwai lilipiga kura 16 kwa 13 kuhalalisha uzalishaji na uuzaji wa bangi.. Rais Mujica anatarajiwa kutia saini sheria, ambayo itakuwa na ufanisi kuanzia mwaka ujao. Estoy a favor de legalizar la Marihuana pero estaria bueno ser noticia en el mundo por nuestra Seguridad y Educacion —...