Habari kuhusu Kireno kutoka Novemba, 2013
Wanasayansi Kutoka Duniani Kote Wakusanyika Nchini Brazil
Jukwaa la Sayansi Duniani (WSF) linajumuisha mamia ya wanasayansi kutoka duniani kote wiki hii nchini Brazil, kujadili wajibu wao katika karne ya 21 na kusisitiza umuhimu wa ushauri wa kisayansi katika maamuzi ya kisiasa na kiuchumi. Brazil imekuwa mwenyeji wa matukio kadhaa ya kujadili kuondoa umaskini na maendeleo endelevu kutoka...
VIDEO: Serikali Yaharibu Misikiti Nchini Angola
Uharibifu wa misikiti isiyopungua 11 katika miezi miwili iliyopita nchini Angola imechochea athari ya hasira kwenye mtandao. Kwa mujibu wa Voz da América [pt], Mamlaka ya Angola ilisema kuwa sababu ya uharibifu ni ujenzi kinyume cha sheria na ripoti&nyingine kuongeza kwamba mchakato wa kuhalalisha Uislamu na dini nyingine katika nchi haijawahi...
Wasanii wa Brazil Waungana Kuwahifadhi Simba Nchini Kenya
Brazilian artists contribute their artwork to a crowdfunding campaign supporting the Ewaso Lions Project, dedicated to saving lions in Kenya.
PICHA: Mkutano wa Chama Kikuu cha Upinzani Msumbiji cha Shambuliwa na Polisi wa Kutuliza Ghasia
Mkutano wa hadhara wa mwisho kwa kampeni ya umeya wa chama cha upinzani cha MDM katika Beira ulimalizika kwa watu watatu kuuawa na kadhaa kujeruhiwa – waliojeruhiwa ni pamoja na mwana wa mgombea – kufuatia mashambulizi ya polisi wa kutuliza ghasia ambao walitumia mabomu ya kutoa machozi na kufyatua risasi...
Timu ya Soka ya Brazil Yazindua Kampeni Dhidi ya Ubaguzi wa Rangi
Katika video iliotolewa Jumatatu, Agosti 12, timu ya soka ya Grêmio of Porto Alegre ilileta pamoja baadhi ya wachezaji muhimu kwenye orodha ya majina yake, weupe na weusi, kwa majadiliano juu ya ubaguzi wa rangi. Mpango huo ulifanyika kusaidi mpango mpya wa FIFA, uliotekelezwa Mei mwaka huu na kupitishwa bila...