Habari kuhusu Kijapani kutoka Septemba, 2014
Blogu Sita za Kiingereza Zinazoweza Kukusaidia Kuielewa Japani
Orodha ya blogu bora za Kijapani zinazoandika matukio, utamaduni, siasa, uhalifu unaotokea Japani na zaidi. Kama kuna blogu tumeisahau, tafadhali iongeze kwenye kisanduku cha maoni!
Video ya Kuonesha namna Mlima Ontake Ulivyolipuka
Mtu mmoja amethibitika kufa, wakati wengine wapatao hamsini wakiwa wamejeruhiwa vibaya, na wengine kumi hawajulikani walipo baada ya Mlima Ontake, ulio maarufu kwa ukweaji mlima, katikati ya Japani, kulipuka