Habari kuhusu Kifarsi kutoka Aprili, 2014
Mazungumzo ya GV: Nini Kimewakuta Wanablogu wa Iran?
Huenda kublogu hakujafa, lakini kuko mbioni? Arash Kamangir na Laurent Giacobino wanatuletea utafiti wa kina kuhusu hali ya blogu mashariki ya kati.
Mwanablogu wa Iran Aliyefungwa Aandika Barua Kuelezea Anavyoteswa
Mwanablogu anayefahamika kama Siamak Mehr ameandika barua ya wazi kutoka jela anakoishi kwenye chumba kidogo na wafungwa 40. Anatumikia kifungo cha miaka minne kwa kosa la kublogu