The Global Voices Lingua project hopes to bring GV content to new linguistic audiences - Details

Also in:

Chinese Hifadhi ya lugha Katika Makundi

Kiungo cha RSS kwa Chinese

2009-08-18

China: Mitizamo Potofu Pamoja na Ubaguzi wa Wa-Han Dhidi ya Wa-Uyghur

Ni mwezi mmoja na zaidi umepita tangu machafuko ya Xinjiang ya Julai 5 na wengi wa wanamtandao wa intaneti wa Kichina bado wanazilaumu nchi za Magharibi pamoja na Rebiya Kadeer kwa kuwatetea wale wanaotaka kujitenga huko Xinjiang. Hata hivyo, kuna sauti za minong’ono zinazochepuka hapa na pale katika intaneti ya ...