· Agosti, 2008

Below are posts about citizen media in Bangla. Don't miss Global Voices বাংলা ভার্সন, where Global Voices posts are translated into Bangla! Read about our Lingua project to learn more about how Global Voices content is being translated into other languages.

Habari kuhusu Kibangla kutoka Agosti, 2008

Bangladeshi: Ku-twita na kublogu tetemeko la ardhi

  5 Agosti 2008

Tetemeko la ardhi la wastani lilitikisa jiji la Dhaka siku ya tarehe 27 Julai mnamo muda wa saa 00:51 kwa saa za Bangladeshi (+6 GMT). Russell John anaripoti katika blogu yake: Nilikuwa nimelala kwenye kitanda changu huku nikongea kwa simu na rafiki yangu, na ghafla nikahisi kitanda kikitetemeka. Ndani ya...

Kuhusu habari zetu za Kibangla

bn