Habari kuhusu Kiarabu kutoka Agosti, 2010
Moroko: Mtoto Mwanablogu Asalimia Ulimwengu
Salma alianza kublogu akiwa na umri wa miaka sita ili kuwasiliana na ndugu na marafiki. Chii ya usimamizi wa wazazi wake, mwanablogu huyu mdogo wa Moroko anapendelea kuandika hadithi fupi fupi na kuielezea dunia matukio anayokumbana nayo kila siku shuleni.