makala mpya zaidi zilizoandikwa na Rose Kahendi kutoka Januari, 2014
Jaribio la Mapinduzi? Mgogoro wa Kikabila? Tafakuri ya Machafuko ya Sudan Kusini
Political strife and 500 civilians already reported dead: what, exactly, is behind the current crisis in the world's newest nation?
Uajemi: Washairi Wawili Watiwa Nguvuni
Washairi Mehdi Mousavi na Fatemeh Ekhtesari wametokomea nchini Uajemi. Kwa mujibu wa taarifa za habari, washairi hao wamewekwa kizuizini tangu mwanzoni wa mwezi Desemba. Zaidi ya watu mia mbili wametia saini hati ya malalamiko mtandaoni na kutoa wito kwa Umoja wa Mataifa kuchukua hatua kuhusiana na hali za wanaharakati wa...