Caribbean Yajiunga na Kampeni ya #BringBackOurGirls

Kama watoto wetu wangetoweka tungelipenda dunia yote kusimama na kuja kutusaidia kuwatafuta wao. Sisi … tunauliza kwamba … kwa nini mara nyingi miili ya wanawake huwa uwanja wa vita ambapo vita hupiganiwa. Hili si tatizo ambalo linahusisha mji mdogo nchini Nigeria, ni tatizo la wasichana wote kila mahali.

Tillah Willah alimwandikia barua Goodluck Jonathan, kutoa wito wa kulichukulia suala la “kupotea kwa wasichana 234 wa shule ya Chibok, Borno … kwa umakini na uharaka zaidi.”

Anza mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.