Mgogoro Usiopewa Uzito Stahiki Nchini Burundi

Wakati nchi jirani ya Rwanda inagonga vichwa vya habari na maadhimisho ya mauaji ya kimbari ya mwaka wa 1994 na kuongezeka kwa mvutano na Ufaransa, Burundi imeharibiwa katika kupuuzwa kwa mgogoro wa kisiasa na dalili za vurugu zinazoweza kusababisha mapigano mapya ya Wahutu na Watutsi. Tshitenge Lubabu nchini Burundi anatoa maoni kwamba mzizi hasa wa mgogoro ni viongozi wa sasa wa kisiasa:

 La plupart de nos dirigeants, bien ou mal élus, malgré de longues années de pouvoir, se sont illustrés par leur impéritie [..] Tous les mensonges sont bons pour confisquer le pouvoir. Quand leurs mandats, limités par la Constitution, arrivent à terme, des courtisans zélés, jamais repus, les supplient de ne pas partir. Comme si, sans eux, le soleil risquait de ne plus apparaître 

Wengi wa viongozi wetu, waliochaguliwa vyema au sivyo, licha ya kukaa muda mrefu madarakani, ni wazembe [..] uongo wowote ni mzuri kumfanya akwae madaraka. Wakati majukumu yao yanafikia mwisho kama ilivyoainishwa katika Katiba, wasaidizi wao wenye bidii, wasioridhika kamwe, huwaomba wasiachie madaraka. Ni kama wanafikiri bila wao, jua halitawaka kesho.

1 maoni

  • Kiungo cha makala haya kutokea kwenye tovuti nyingine: Mgogoro Usiopewa Uzito Stahiki Nchini Burundi | TravelSquare

    […] Mgogoro Usiopewa Uzito Stahiki Nchini Burundi Wakati nchi jirani ya Rwanda inagonga vichwa vya habari na maadhimisho ya mauaji ya kimbari ya mwaka wa 1994 na kuongezeka kwa mvutano na Ufaransa, Burundi imeharibiwa katika kupuuzwa kwa mgogoro wa kisiasa na dalili za vurugu zinazoweza kusababisha mapigano mapya ya Wahutu na Watutsi. Tshitenge Lubabu nchini Burundi anatoa maoni kwamba mzizi hasa wa mgogoro ni viongozi wa sasa wa kisiasa:  La plupart de nos dirigeants, bien ou mal élus, malgré de longues années de pouvoir, se sont illustrés par leur impéritie [..] Tous les mensonges sont bons pour confisquer le pouvoir. Quand leurs mandats, limités par la Constitution, arrivent à terme, des courtisans zélés, jamais repus, les supplient de ne pas partir. Comme si, sans eux, le soleil risquait de ne plus apparaître  Wengi wa viongozi wetu, waliochaguliwa vyema au sivyo, licha ya kukaa muda mrefu madarakani, ni wazembe [..] uongo wowote ni mzuri kumfanya akwae madaraka. Wakati majukumu yao yanafikia mwisho kama ilivyoainishwa katika Katiba, wasaidizi wao wenye bidii, wasioridhika kamwe, huwaomba wasiachie madaraka. Ni kama wanafikiri bila wao, jua halitawaka kesho. Imeandikwa na Rakotomalala · Imetafsiriwa na Joyce Maina · Angalia ujumbe mama [en] · maoni (0) Tuma: facebook · twitter · googleplus · reddit &m… Kusoma makala kamili  »  http://sw.globalvoicesonline.org/2014/04/mgogoro-usiopewa-uzito-stahiki-nchini-burundi/ […]

jiunge na Mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.