“Maendeleo kwa Akina Nani?” Wa-Guatemala Wapinga Mradi wa umeme wa Maji

“Maendeleo kwa ajili ya nani? Je, fedha zitabaki katika jamii? Hapana, inaendelea kujaza mifuko ya wengine, na tutaendelea kuishi katika umaskini. Sisi ni tunacho uliza sasa ni kwa serikali kufuta leseni zote za [madini na umeme wa maji] ambazo zimetolewa.” Katika Upside Down World, Kelsey Alford-Jones, Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu Guatemala /USA (GHRC), inanaandika kuhusu harakati za upinzani dhidi ya mapendekezo ya miradi ya kuzalisha umeme katika Santa Cruz Barillas, Guatemala.blockquote>

Anza mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.