Wikipedia kwa Lugha ya Ki-Guarani

Mwaka huu, Wikipedia katika lugha ya Kihispaniola ilifikia makala milioni moja na kutolewa kwa mwongozo msingi wa mtumiaji katika lugha ya ki-Guarani. Wazo ni kufufua jamii ya wanaozungumza kiguarani katika jukwaa hili kubwa. Hadi sasa kuna makala 20 tu katika lugha hiyo.

[…]

Kama una nia ya kushirikiana na mradi huu, shusha mwongozo kwenye wikipedia katika lugha ya ki-Guarani na kujiunga na jamii ya Vikipetã !

Maricarmen Sequera anaandika kuhusu Wikipedia kwa ki-Guarani katika blogu ya Hallucina [es].

Anza mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.