Mazungumzo ya GV: Kupigania Kuachiliwa Huru kwa Wanablogu wa Ethiopia wa Zone 9


Wanablogu tisa ikiwa ni pamoja na waandishi wa habari —wanne wao wakiwa ni wanachama wa Global Voices —wamnashikiliwa na mamlaka za Ethiopia kwa sababu ya kutekeleza majukumu yao. Je, hawa wanablogu wa Zone 9 ni akina nani? Je, wanaowaunga mkono wanaweza kufanya nini kushinikiza kuachiliwa kwao? Katika toleo hili la Mazungumzo ya GV, tunazungumza na mwanablogu wa Kiethiopia na mwanachama wa Zone 9 Endalk, sambamba na Deji Olukotun wa Shirika la PEN American Freedom To Write na mhariri wa Kitengo cha Utetezi cha GV kiitwacho Advox Ellery Biddle kuhusu umuhimu wa keshi hii.

 

Habari zaidi ya kesi ya wanablogu wa Zone 9:

Ethiopia: Police Request More Time for Zone 9 Bloggers Investigation, May 14, 2014

Why Blogging is a Threat to the Ethiopian Government May 10, 2014

Advocates Ask African Commission, UN Experts to Intervene in Zone 9 Bloggers Case May 3, 2014

TAMKO: Global Voices Yatoa mwito wa Kuachiliwa kwa Waandishi Tisa nchini Ethiopia, Mei 2, 2014

Taarifa za Waandishi wa mtandaoni: Ethiopia Yauminya Uhuru wa Kujieleza, Aprili 30, 2014

Wanachama Sita wa Muungano wa Kublogu Wakamatwa nchini Ethiopia, Aprili 25, 2014

 

Anza mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.