Kwa nini Maandamano Hayatasababisha ‘Mapinduzi ya Cambodia’

Faine Greenwood anaandika kuhusu mhadhara wa Stanford uliotolewa na mwanaharakati wa haki za binadamu wa Cambodia Ou Virak. Aliuliza kuhusu maandamano ya kupinga serikali yanayoendelea nchini Cambodia, Ou Virak alieleza kwa nini hayatasababisha ‘mapinduzi ya kisiasa':

Sidhani kuwa mapinduzi ya Cambondia yatatokea, na wala sidhani yanahitajika…Hatuna hata neno muafaka kwa mapinduzi kwa lugha ya Khmer. Neno la karibu kidogo ni mapinduzi, ambalo huwakumbusha watu neno la lugha ya Khmer “Rouge”.

Alikosoa chama cha upinzani kwa kushindwa kuleta aganda za kisiasa zinazoeleweka:

Sijaona agenda…kitu pekee ninachokiona ni kwa kiasi gani tunamchukia Hun Sen, na namna gani tunaichukia Vietnam…THiyo ni kanuni ya janga, kuendekeza sana chuki. Hatujui tunampigania nani.

Anza mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.