PICHA: Raia wa Costa Rica Waishio Nje ya Nchi Wapata Fursa ya Kupiga Kura

Kwa mara ya kwanza, wananchi wa Costa Rica waishio nje ya nchi wamepata fursa ya kupiga kura kwenye uchaguzi wa Rais. kutoka pande zote za dunia, raia wa Costa Rica wamekuwa wakiripoti kupita mtandao wa twita kuhusiana na upigaji kura katika nchi walizopo.

Kipindi hiki, sisi raia 15,000 tunaoishi nje ya nchi, ni ufunguo, kura zetu lazima zizuie kufungana katika kura.

Kutoka kwa Raia wa Costa Rica wanaoishi nchini Australia, ambao ndio waliokuwa wa kwanza kupiga kura, wakifuatiwa na wale wanaoishi Japan, Ufaransa, Marekani na kwingineko, raia wanaota taarifa huku wakionesha hisia zilizojaa hamaki.

Stephanie anataarifu kutoka Washington:

Nimepiga kura yangu Washington, DC.

Francisco alisafiri kutoka Boston hadi New York ili kutimiza haki yake ya kupiga kura.

Francisco Delgado anayesoma huko Boston alisafiri hadi New York ili apige kura yake .

Pia kutoka Marekani, Diego Rivera aweka picha hii:

Tayari nimeshapiga kura yangu!!! (Ubalozi mdogo wa Costa Rica huko Miami!)

Kutoka Brussels, Silvia Muñoz na Alexander Molina washerehekea baada y kupiga kura:

Huko Brussels, ambao ni mji mkuu wa kiutawala wa Ulaya, Silvia Muñoz Solano na Alexander Molina López , walipiga kura.

Moja kwa moja hadi China, msichana mmoja kutoka Cartago ataarifu kuhusiana na kupiga kura kwake:

Sofía Hernández, kutoka Cartago alipiga kura yake akiwa China. Kituo cha kupigia kura kilichopo Beijing tayari kilishafungwa.

Na pia, Adolfo Chaves anataarifu kutoka The Hague, Netherlands:

Kura yangu nikiwa The Hague.

Picha zaidi na taarifa zinapatikana kwa kufuata viungo habari #VotoExteriorCR [piga kura ukiwa nje ya Costa Rica], #EleccionesCR [Chaguzi Costa Rica] na #VivoMiVoto [Ninapiga kura yangu].

3 maoni

  • […] PICHA: Raia wa Costa Rica Waishio Nje ya Nchi Wapata Fursa ya Kupiga Kura Kwa mara ya kwanza, wananchi wa Costa Rica waishio nje ya nchi wamepata fursa ya kupiga kura kwenye uchaguzi wa Rais. kutoka pande zote za dunia, raia wa Costa Rica wamekuwa wakiripoti kupita mtandao wa twita kuhusiana na upigaji kura katika nchi walizopo. Esta vez los ticos 15,000 en el extranjero somos claves, nuestros votos pueden evitar una segunda ronda..#EleccionesCR #votoCR #vivomivoto — carolina palma (@Carolpalma54) tarehe 2, Februari 2014 Kipindi hiki, sisi raia 15,000 tunaoishi nje ya nchi, ni ufunguo, kura zetu lazima zizuie kufungana katika kura. Kutoka kwa Raia wa Costa Rica wanaoishi nchini Australia, ambao ndio waliokuwa wa kwanza kupiga kura, wakifuatiwa na wale wanaoishi Japan, Ufaransa, Marekani na kwingineko, raia wanaota taarifa huku wakionesha hisia zilizojaa hamaki. Stephanie anataarifu kutoka Washington: #VivoMiVoto @ Washington, DC pic.twitter.com/eftYI5MXGR — Stephanie (@stephbrealey) Tarehe 2 Februari, 2014 Nimepiga kura yangu Washington, DC. Francisco alisafiri kutoka Boston hadi New York ili kutimiza haki yake ya kupiga kura. #VivoMiVoto Francisco Delgado estudia en Boston y viajó a Nueva York para votar pic.twitter.com/qcxQh6WPiI — ameliarueda (@ameliarueda) Tarehe 2 Februari , 2014 Francisco Delgado anayesoma huko Boston alisafiri hadi New York ili apige kura yake . Pia kutoka Mar… Kusoma makala kamili  »  http://sw.globalvoicesonline.org/2014/02/picha-raia-wa-costa-rica-waishio-nje-ya-nchi-wapata-fursa-ya-kupiga-kura/ […]

  • […] PICHA: Raia wa Costa Rica Waishio Nje ya Nchi Wapata Fursa ya Kupiga Kura Kwa mara ya kwanza, wananchi wa Costa Rica waishio nje ya nchi wamepata fursa ya kupiga kura kwenye uchaguzi wa Rais. kutoka pande zote za dunia, raia wa Costa Rica wamekuwa wakiripoti kupita mtandao wa twita kuhusiana na upigaji kura katika nchi walizopo. Esta vez los ticos 15,000 en el extranjero somos claves, nuestros votos pueden evitar una segunda ronda..#EleccionesCR #votoCR #vivomivoto — carolina palma (@Carolpalma54) tarehe 2, Februari 2014 Kipindi hiki, sisi raia 15,000 tunaoishi nje ya nchi, ni ufunguo, kura zetu lazima zizuie kufungana katika kura. Kutoka kwa Raia wa Costa Rica wanaoishi nchini Australia, ambao ndio waliokuwa wa kwanza kupiga kura, wakifuatiwa na wale wanaoishi Japan, Ufaransa, Marekani na kwingineko, raia wanaota taarifa huku wakionesha hisia zilizojaa hamaki. Stephanie anataarifu kutoka Washington: #VivoMiVoto @ Washington, DC pic.twitter.com/eftYI5MXGR — Stephanie (@stephbrealey) Tarehe 2 Februari, 2014 Nimepiga kura yangu Washington, DC. Francisco alisafiri kutoka Boston hadi New York ili kutimiza haki yake ya kupiga kura. #VivoMiVoto Francisco Delgado estudia en Boston y viajó a Nueva York para votar pic.twitter.com/qcxQh6WPiI — ameliarueda (@ameliarueda) Tarehe 2 Februari , 2014 Francisco Delgado anayesoma huko Boston alisafiri hadi New York ili apige kura yake . Pia kutoka Mar… Kusoma makala kamili  »  https://sw.globalvoicesonline.org/2014/02/picha-raia-wa-costa-rica-waishio-nje-ya-nchi-wapata-fursa-ya-kupiga-kura/ […]

  • […] }); PICHA: Raia wa Costa Rica Waishio Nje ya Nchi Wapata Fursa ya Kupiga Kura  » http:// sw.globalvoicesonline.org Kwa mara ya kwanza, wananchi wa Costa Rica […]

jiunge na Mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.