GlobalVoices katika

Mauritius na Visiwa vya Reunion Kukumbwa na Kimbunga Dumile

TafsiriMakala hii inapatikana pia katika:

Français · L’île de la Réunion et l’île Maurice face au cyclone Dumile
Español · Mauricio e Islas Reunión se refuerzan por impacto de ciclón Dumile
English · Mauritius and Reunion Island Brace for Cyclone Dumile Impact

Mvua kubwa ikinyesha nchini Mauritius wakati Kimbuka cha Dumile kikipiga hodi. Picha ya lexpress.mu -Kwa matumizi ya umma

Lexpress.mu linaripoti kwamba Mauritius iko kwenye hatari kubwa [fr] kufuatia kisiwa hicho kunyemelewa na uwezekano wa Kimbunga cha Dumile. Kisiwa cha Agaléga cha nchi hiyo kiliathiriwa vibaya na kimbunga hicho [fr] na nishati ya umeme ulikatika kwa masaa 24. Kisiwa cha Réunion pia kiko kwenye hatari kubwa [fr].

Uwanja wa Maoni Umefungwa

Sehemu za Dunia

Nchi

Lugha