- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Utambulisho wa Jamii ndogo ya Balkan

Mada za Habari: Ulaya Mashariki na Kati, Bosnia Herzegovina, Kosovo, Macedonia, Serbia, Elimu, Haki za Binadamu, Haki za Mashoga, Mawazo, Uandishi wa Habari za Kiraia, Uhuru wa Kujieleza, Vijana, Vyombo na Uandishi wa Habari, Wanawake na Jinsia
Face the Balkans subjects of stories

Picha ya mwonekano wa tovuti ya Balkans.

Waandishi vijana kumi na watano kutoka katika nchi zipatazo sita tofauti wametengeneza mfululizo wa masimulizi binafsi kuhusu masuala ya namna jamii zenye watu wachache (kwa mapana yake) zinavyoweza kuwakilishwa kutoka Bosnia na Herzegovina, Kosovo, Serbia, na Macedonia. Habari zinapatikana katika lugha za Kiingereza [1], Kijerumani [2], na Kifaransa [3] katika mwonekano wa tovuti ya Balkans.